Saturday, 5 April 2014

ANGALIA PICHA ZIKIONESHA TUKIO LA WATU WATATU WALIO KUFA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI BUNJU


Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali walijitokeza na kusaidia zoezi la uokoaji kwa bahati mbaya wote walipatwa wakiwa wameshafariki 

Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana huu wamefariki dunia..
Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.
Wasamaria wema wakienda kuuhifadhi mwili.
....Walio fariki imefahamika ni bwana Msagala, Jacob na Mwando wote ni wakazi wa Bunju....RIP
NA MATUKIO BLG

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA