DIAMOND AVUNJA UKIMYA, KUMBE ANA MTOTO!!!! SOMA ALICHOKISEMA MWENYEWE HAPA.
Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.Kwenye mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)
Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben 10!
na wananchi blg
0 comments:
Post a Comment