MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MHE. MUSSA CHANG'A AFARIKI DUNIA

Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)
0 comments:
Post a Comment