CHATU ALIYEKUWA ANATISHIA MAISHA YA WANAINCHI MBEYA AKAMATWA
Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya
FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na
Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
![]() |
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka |
![]() |
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka |
![]() |
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka |
![]() |
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia |
Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii
Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya
FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na
Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
MJENGWA
MJENGWA
0 comments:
Post a Comment