PROFESA ANA TIBAIJUKA AKABIDHI ZAWADI YAKE YA TSH.9.5M/- MAMA SHUJAA WA CHAKULA
Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally 'Kipanya' akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014

Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji wa zawadi pamoja na kumkaribisha Mgeni rasmi apate kuongea na Mama Shujaa wa Chakula pamoja na wageni waalikwa.
Mgeni Rasmi Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa Hotuba yake fupi ya kuwapongeza washiriki wote katika shindano la kumsaka Mama Shujaa wa Chakula na mpaka kupatikana mshindi, pamoja na kuwapongeza pia aliwaomba wakawe mabalozi wazuri kwa kwenda kuwafundisha wakulima wengine kile ambacho wamejifunza.
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akitoa Shukurani zake wakati wa Sherehe hizo
Mgeni
Rasmi Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna
Tibaijuka akimkabidhi zawadi ya Tsh 5,000,000 Mshindi wa Mama Shujaa wa
Chakula 2014 Bahati Muriga kutoka Nansio Ukerewe Mwanza.
Mshindi
wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga kutoka Nansio Ukerewe
Mwanza akionesha zawadi yake ya Tsh 5,000,000 aliyokabidhiwa na Waziri
wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka
Afisa
Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akipokea zawadi ya Tsh
2,500,000 kwa niaba ya Mama Shujaa wa Chakula Msimu uliopita Sister
Martha Mwasu kutoka kwa Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi
Profesa Anna Tibaijuka
Waziri
wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka
akimkabidhi David Sevuri zawadi ya Tsh 2,000,000 kwa ajili ya vijana
wote walioshiriki katika shindano la Maisha Plus
"Wekeza kwa Wakulima wanawake wadogo wadogo Inalipa"
Mama Shujaa wa Chakula pamoja na wageni waalikwa katika Sherehe ya Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi yake rasmi.
0 comments:
Post a Comment