CHEKI PICHA UKAWA WALIVYOITIKISA ARUSHA MKOANI ARUSHA
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Dr Wilbrod Slaa
akizungumza na wananchi wa Arusha katika viwanja vya Kilombero ikiwa ni
mfululizo wa Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi iliyoanza juzi
katika maeneo tofauti ya nchi. Katika mkutano wa Arusha Dr Slaa
aliambatana na viongozi wengine kutoka NCCR Mageuzi na Chama Cha
Wananchi (CUF) iliyowakilishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Bw Mustafa
Mwanri.
Kutoka kushoto, Bw Elifuraha wa ArushaMambo Radio, Katibu wa Kanda ya Kaskazini Chadema, Mh Amani Golugwa na Dr Slaa
Mh Ndesamburo akifurahia jambo na mdau wa NCCR

0 comments:
Post a Comment