Tuesday, 20 May 2014

HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA ULIVYOAGWA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR

Msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Kwa sasa mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana upo katika viwanja vya Leaders Club katika kuagwa na wananchi. 

Wengine nao wapo busy...
CHANZO HABARI NA MATUKIO BLOG

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA