MANISPAA YA IRINGA HATARINI KUKUMBWA NA UGONJWA WA DENGUE
Wakazi wa
Mshindo karibu na mlango wa Uwanja wa Samora Manispaa ya Iringa, mkoani
Iringa wakifanya kazi karibu na taka bila kujali athari za kiafya
zinazoweza kuwapata.Tatizo la kuzagaa kwa taka katika Manispaa ya Iringa
ni kubwa.
MKAZI wa
Isoka 'A' Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa ambaye hakufahamika jina
lake mara moja akipita karibu na jalala leo mchana. Wakazi wa eneo hilo
wanasema jalala hilo la taka hazijazolewa kwa muda mrefu sasa, hii ni
sababu mmojawapo inayoweza kusababisha mlipuko wa ugonjwa wa dengue
unaotokana na kukithiri kwa taka ikiwa ni sehemu ya mazalia ya mbuu,
yakiwemo makopo na vifuu vya nazi vinavyohifadhi maji. Ugonjwa wa Dengue
unasababisha na kuumwa na mbuu (mosiquito bite/mosiquito-borne)(PICHA:FRIDAY SIMBAYA)
NA MJENGWA
0 comments:
Post a Comment