Wednesday, 14 May 2014

PICHA ZA DIAMOND PLATINUMZ ALIPOTUA UINGEREZA TAYARI KWA KUSHOOT VIDEO YAKE MPYA



Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania jana kuelekea nchini Uingereza.

diamond n Ommy Platnumz na Dimpoz wakati wa safari yao ya UK jana

Diamond ameshare baadhi ya picha za safari hiyo akiwa ameongozana na Ommy Dimpoz pamoja na meneja wake Babu Tale.

Licha ya kuwa Platnumz hajasema kilichompelela Uingereza, lakini mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ‘You Heard’ ya XXL, amethibitisha kuwa ‘baby’ wake pamoja na mambo mengine pia ameenda kushoot video.

Tale na diamond Asante mungu tumefika salama in London, ameandika Tale

Hivi karibuni hit maker wa ‘Number 1′ alipokuwa Nigeria alisema ataenda Uingereza kushoot video ya wimbo wake mpya unaotarajiwa kutoka mara baada ya kukamilika.



chibu london
Jumamosi iliyopita Platnumz aliwaomba radhi mashabiki wake wa Uingereza kwa kushindwa kufika kwaajili ya show iliyokuwa imepangwa kufanyika siku hiyo (May 10) na kuahidi kuwa angesafiri siku si nyingi kwenda London kwaajili ya show hiyo.

“APOLOGY to my UK FANS due to the reasons beyond our control me and my team @wcb_wasafi we won’t make it to the UK show tomorrow, But I promise you that we will be in UK Soon for another big show…Trust Me! My team and my Uk promoter @victordjrule_ BongoUk we sincerely sorry for the inconvenience caused… Bt You can still go and support @chrissdarling and @fullyfocus tomorrow #Rugby7AfterParty… “ Aliandika Instagram

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA