Mwili
wa marehemu Recho aliyekuwa msanii wa bongo muvi na mwili wa mtoto wake
umetolewa katika hospitali ya taifa muhimbili na kupelekwa
nyumbani kwao maeneo ya Palestina jijini Dar, na baadaye viwanja vya leaders club kwa ajili ya
kuagwa
Simanzi na vilio vilitawala nyumbani kwa marehemu wakati mwili huo ukiagwa na ndugu wa karibu kwa dakika chache kabla ya kwenda viwanja vya leaders
0 comments:
Post a Comment