YALIYOJIRI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS KWAAJILI YA WATANZANIA KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA DADA YETU RACHEL HAULE
Mchungaji akiendesha Sala kwaajili ya Marehemu Rachel Haule ambaye alipoteza maisha Jumatatu ya Wiki Hii kwa Uzazi
Sehemu lilipo Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa Wetu Rachel Haule
Baadhi
ya waombolezaji waliofika katika viwanja vya leaders kwaajili ya kutoa
heshima za mwisho kabla Mwili wa Marehemu Rachel haujapelekwa
kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele
MChungaji
akiendelea kutoa Neno katika Msiba wa Msanii Rachel Haule aliyefariki
Jumatatu, Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuagwa muda si mrefu katika
viwanja hivi vya leaders na hatimaye kwenda kupumzishwa kwa amani katika
Makaburi ya Kinondoni.
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.
Picha Zaidi zitakujia Baadae
0 comments:
Post a Comment