Kwa staili hii kweli Shetta kapania kumfunika Diamond.
17:00 |
No Comments |
Hivi sasa Shetta ameamua kufanya kweli, kama amepania flani hivi kufunika historia aliyowahi kufanya Diamond Platnumz, Katika kutimiza nia yake hiyo ya kutoka kimuziki ki-international zaidi kama alivyofanya Platnumz, ameamua kwenda hadi huko nchini South Africa kuipika vyema video yake ya nyimbo ya “Kerewa” aliyomshirikisha Diamond Platnumz.
Diamond alianza kufanya kweli na ku-change game zima la muziki baada ya kujitoa muhanga na kutumia mamilioni ya fweza kufanya video kali nchini humo south Africa, video ya “Mynumber1″ iliyo-make headlines sana ki-international zaidi. Ila ujio huu wa sasa wa Shetta sidhani kama atashikika kwenye ulimwengu huu wa muziki wa bongo fleva.

0 comments:
Post a Comment