Thursday 26 June 2014

MAJTUO::MREMBO HUSNA HATASAHAU MAISHANI MWAKE...NI BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA MTAANI..AJUTA





"Ni kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali kupiga," alisema huku akimwaga machozi.

"Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.


 
"Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.
 "Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA