Showing posts with label AIBU. Show all posts
Showing posts with label AIBU. Show all posts

Tuesday, 24 March 2015

AMFUMANIA DADA NA MUME WAKE WAKIFANYA MAPENZI:;NA KUWANYANG'ANYA NGUO



Mwanamke aliyejulikana kwa jina Ting Su nchini China amemwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwakuta wakifanya mapenzi.
Ting Ting Su aligundua kwamba mumewe alikuwa akimsaliti na dadaake ndipo alipoamua kuwafuata hadi katika kituo kimoja cha maduka akitumia teknolojia katika simu yake ambapo aliwapata wakichemshana katika gari la mumewe.
 Wawili hao walitoka ndani ya gari hilo bila nguo kwa kubabaika ili kujaribu kumuelezea kilichokuwa kikiendelea lakini waliachwa na mshangao mkubwa wakati Ting alipoingia ndani ya gari hilo na kuondoka kwa haraka na kuwaacha wawili hao barabarani bila nguo.
 Kwa mujibu wa gazeti la Metro,shahidi aliyejulikana kama You Meng alisema walioshuhudia kisa hicho walibeba simu zao na kuanza kuchukua picha na yeye hakubakia nyuma.
Mumewe aligonga dirisha la gari hilo na kumpigia kelele mkewe lakini hakujali kamwe aliliondosha gari hilo kwa haraka.

Sunday, 28 September 2014

TRUE STORY:ILIKUWAJE DADA HUYU AKALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA NA FARASI::TAFADHALI ISOME HAPA


Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye jamii ya watu wa Afrika, watu wengi waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo wa huduma za mawasiliano dunia nzima, pia iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa umuhimu wa mawasiliano kwa ujumla.

Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-chat, kutuma mails na hata kusaidia katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Na kadiri muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi walikuja kugundua wanaweza kuitumia internet kwa ajili ya kuweza kuwapata marafiki wa ku-chat au hata wenza wa maisha.

Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa kuitumia internet kuweza kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa nao kimahusiano. Baadhi wameingia kwenye mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi hadi kufikia hatua kujuta kwa nini waliifahamu internet.

Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.

NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;

Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa wanaume tofauti tofauti na ambaye awali aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa aliyefahamika kwa jina la Jean Claude (Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali kuwahudumia wateja wake kwa huduma za mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya condom akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa maana iliwezesha yeye na huyo mwanaume wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa akifanya kazi hii kwa kitambo mpaka akawa ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni kwamba, Exelle ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka 24 na ana cheti cha mafunzo ya mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo kwenye umri wake awe na tamaa ya kupata hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi wamekuwa wakiuliza.br />
Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi wake, Jean Claude kwenye mtandao mnamo mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za kawaida kama ambavyo mtu mwengine yeyote anavyoweza kuwa anachat na mtu asiyemfahamu. Jean Claude alimueleza msichana huyo kwamba yeye ni mfanyabiashara anayeishi Marseille (Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia na kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba amepata mwanaume wa maisha yake aliendeleza mawasiliano na Jean Claude Fayard na ilipofika mwezi Machi 2012 jamaa alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao Cameroon. Kulikuwa na sherehe kubwa kwenye makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu alizokaa Cameroon, Jean Claude akamchumbia Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya Kanisani. Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya mwezi Machi 2012.

Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari kisha wote wawili wakasafirina kwenda Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo. Jamaa pia aliwapa familia ya Axelle hela ya kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila hawakujua kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye biashara ya Utumwa wa ngono, familia kwa furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.

Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean Claude ni dalali wa biashara ya ngono (pimp) ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua wasichana kisha kuwapeleka kufanya utumwa wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu asingetamani hata kufahamua internet ni nini maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili hao kufika nchini Ufaransa, waliishi kwenye kwenye mji uliojulikana kama Clermont Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuhamia sehemu nyingine mpya iliyojulikana kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo Axelle alikutana na maisha magumu ambayo hakuwahi kuyafikiria maishani.

Siku chache baada ya kuwasili Lourdes, mwanaume mmoja aligonga hodi na kuingia ndani akisema alihitaji kuonana na Jean Claude. Maskini Axelle alichofahamu yeye ni kwamba, mgeni yule alikuwa ni mfanyabiashara mwenzake na mume wake.  Wakati Axelle akimuita mume wake huku akiwa anamuangalia mgeni, alishtushwa na na kauli ya mume wake iliyomwambia "fanya lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".

Siku chache baadae mara baada ya kutoka kazini, Jean Claude alimkalisha chini Axelle kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza kwamba anatakiwa kulipa hela zote alizotumia walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye kwa miaka miwili mbele. Axelle ambaye ilikuwa haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani Jean Claude alikusanya kila kitu cha msichana huyo vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha akavificha. Pia msichana huyo alizuiliwa kupiga simu ya aina yoyote nje.

Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya huduma za mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji huduma. Aliamrishwa kufanya chochote wateja walichohitaji. Walikuwa hawatumii kinga yoyote walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean Claude alirudi nyumbani akiwa na mteja aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye alijulikana kwa jina la Loiseau yeye aliweka hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean Claude. Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili litatokea alisukumwa kwenye chumba na kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule kitendo ambacho alikifanya. Inasemwa kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela nyingi pale Axelle anapofanya ngono na wanyama kitendo kilichofanya dili hizo kuwa za kila siku.

Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo keshaingiliwa na mbwa, Jean Claude aliondoka na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake ndani. Baada ya kujaribu kutoroka kwa mara kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana na Wacameroon wenzake waliokuwa wanaishi kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka Ubalozini ambapo aliwaelezea mkasa wote. Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta ushahidi uliothibitisha kuwa kweli alimteka msichana huyo pamoja na mashitaka mengine. Mara moja Jean Claude alikamatwa huku akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao Cameroon na moja kwa moja alipelekwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.

Angalia vile ambavyo Internet inaweza kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila king'aacho ni dhahabu.

Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna mmoja kati ambaye angeweza kuzisikia baadhi ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia mataifa ya wazungu, hakika sidhani kama mtu ataweza kutaka kimbilia huko pasipo uhakika. Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata kama serikali zetu na wa wanasiasa hutuangusha.

Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili, nahitaji mchango wako....

TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA MAISHA YA MTU KAMA SIO YA WATU.
BOFYA HAPA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK

Friday, 19 September 2014

LAANA::MAMA NA MWANAYE WAOANA BAADA YA KUWA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA



"Mimi na Vertasha mwanangu tulianza mahusiano yetu wakat kipindi hicho akiwa na miaka 16 tu.Lakini nilisubiri mpaka afikishe miaka 18 ndipo tungeanza mapenzi kabisa kwa sababu ni umri ambao unaruhusiwa kisheria,sasa tunatembea out bila kificho chochote ili kuwa saidia watu wengine ambao wako kwenye uhusiano wa kishoga/mama na mwana/wasagaji ilio wajisikie huru.Tunataka watu watutambue kwamba sisi tuna mahusiano ya jinsia moja kama kawaida alisema mama huyo"

Sheria zinazuia mahusiano ya kindugu hasa suala la usagaji katika nchi nyingi za kiafrika..
 "Sisi ni wanawake kwa hiyo mimi Vertasha hatuwezi kuzaa watoto tena na tumeridhika na mahusiano yetu "

Vertasha anafurahia mahusiano hayo pia na anasema hivi...!!

"Mama yangu ni mama yangu anafanya vitu ambavyo ni wajibu wa mama kuvifanya,ananinunulia nguo ananinunulia chakula ananiambia nikatandike kitanda ,so imetokea tu tukawa tunafurahia mapenzi kwa pamoja"

Tuesday, 16 September 2014

DUNIA IMEKWISHA: MWANAMKE AWABAKA WATOTO WA KIUME WAWILI , AWALAZIMISHA WAMUINGILIE KIMWILI USIKU WA MANANE!


Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababisha maambukizi makubwa ya Ukimwi. Mwanamke wa miaka 37, aliyefahamika kwa jina moja la Adong anashikiliwa na Polisi huko mjini Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye!
Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea wazazi wao na ndipo usiku akanyata na kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda! Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya "utamu" na ndipo akaiarifu polis nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha! Mambo hayo! Taarifa zaidi tutawaletea tukizipata...!
                             >>>>HABARI KALI ZAIDI BOFYA HAPA<<<<

Saturday, 2 August 2014

FUMANIZI:MKE WA MTU AFUMWA LIVE NA MWANAMME MWINGINE CHUMBANI KWA MUMEWE MCHANA KWEUPE

Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Mwanahamisi au mama Daudi, mkazi wa Pugu-Kajiungeni, Dar, amejikuta akipata aibu ya karne baada ya kudaiwa kuingiza mwanaume mwingine chumbani kisha kufumaniwa na mumewe. 
MSAMAHA: Mwanahamisi ambaye ni mke wa mtu akiomba samahani baada ya kunaswa.
 
Tukio hilo la kufedhehesha lilijiri hivi karibuni, mchana kweupe nyumbani kwa wanandoa hao maeneo hayo.
 
ILIKUWAJE?
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa wanandoa hao, mume wa Mwanahamisi aitwaye Mashaka au baba Daudi ana rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Paulo ambaye alidai kusumbuliwa na shemeji yake (mama Daudi) kwa muda mrefu.
Ilidaiwa kuwa mama Daudi alikuwa akimtumia Paulo ujumbe wa mapenzi kupitia simu hadi wakati mwingine kufikia hatua ya kumbana na kumkumbatia pale anapokutana naye njiani.
Ikaelezwa kwamba Paulo alimwambia baba Daudi kuwa alikuwa ameshamtumia zaidi ya SMS 240 za kimapenzi.
Baada ya kuona kero zimezidi huku rafiki yake akimlalamikia kutomuelewa mke wake aliyezaa naye mtoto mmoja ambaye bado hata hajaacha kunyonya, Paulo aliamua kuvunja ukimya na kumuonesha ujumbe anaotumiwa na shemeji yake huyo ili wamkomeshe.
 
AIBU YA USALITI: Mke wa mtu pamoja na njemba aliyokuwa nayo wakiwa na aibu baada ya kunaswa live chumbani.
Ilisemekana kwamba baada ya kufanya tathmini ya SMS hizo, baba Daudi na Paulo waliweka mtego huku wakimshirikisha mke wa Paulo ambaye aliwahi kugombana na mama Daudi kwa kitendo cha kumtambia ovyo.
Ilielezwa kuwa baada ya mpango kukamilika huku Paulo akimwambia shemeji yake kuwa amemkubalia, mama Daudi alimuaga mumewe kuwa baba yake ni mgonjwa huko Yombo-Buza, Dar hivyo anakwenda kumuona na siku hiyo atarudi saa 12:00 jioni akijua kuwa kwa mwanya huo ataweza kwenda gesti maeneo ya Ukonga-Mombasa, Dar na Paulo kama walivyokubaliana.
Ilisemekana kuwa baada ya Paulo kuona gesti patakuwa na shida ya kumshikisha adabu mama Daudi, alimshawishi wakutane chumbani kwa mumewe (baba Daudi) ili iwe rahisi kumfumania.
Ilifahamika kwamba ili kusaliti chumbani kwa mumewe, alimpigia simu baba Daudi kujua alipokwenda.
Kwa kuwa baba Daudi alijua mchezo, alimwambia mkewe kuwa amekwenda kufuatilia kitambulisho cha kazi kisha atakwenda Kigogo, Dar kwenye mishemishe nyingine.
Ilidaiwa kuwa majibu hayo yalimfurahisha mama Daudi ambaye alimwalika Paulo chumbani kwa mumewe bila kujua aliwekewa mtego.
 
KIPONDO: Mke wa mtu akipokea kichapo baada ya kubambwa.
 
SAA 7:OO MCHANA KWEUPE
Mishale ya saa 7:00 mchana, Paulo aliondoka nyumbani kwake na kuwaacha wafumaniaji wakiwa tayari, alipofika kwa mama Daudi naye akainua simu kumpigia baba Daudi kumhakikishia Mwanahamisi kuwa mume wake harudi muda huo, akamwambia kuwa amekwenda mbali wataonana saa 12:00 jioni.
Ilidaiwa kuwa ili wafaidi mambo vizuri, mama Daudi alimuondoa mtoto wake na mdogo wake kwa kuwapa fedha ya kwenda kulipia kuangalia ‘tiivii’ kibandani ili abanjuke na Paulo kwa raha zake.
Nusu saa kabla ya tendo, Mwanahamisi alikuwa ameshasaula nguo zote mwilini ndipo Paulo alipomtaarifu baba Daudi kuwa mchezo tayari anaweza kufumania.
 
OFM, BABA DAUDI
Baba Daudi, huku akiambatana na makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers alitimba chumbani kwake na kumbamba mkewe ‘live’ kitandani kwake, tayari kusaliti ndoa.
Huku OFM ikishuhudia, mama Daudi alishtuka na kukimbilia khanga kisha akaanza kutoa lawama kwa Paulo kwa kumtia mtegoni.
Katika utetezi wake, mama Daudi alilia kwa uchungu na kusema kuwa ni shetani na tamaa ya fedha ndiyo iliyomponza kwani alijua angelamba mshiko kutoka kwa Paulo.
“Yaani naumia sana kwa mume wangu kunifumania tena na rafiki yake, naomba msamaha, ni shetani tu alinipitia,” alisema mama Daudi huku akimpigia magoti baba Daudi.
Pamoja na utetezi wake, mama Daudi alikula kichapo cha nguvu kutoka kwa mke wa Paulo ambaye aliunganishwa kwenye mtego.
Baada ya mtiti wa nguvu, mama wa Mwanahamisi aliitwa ambapo alipofika na kujionea aibu ya mwanaye, presha ilimpanda, akashindwa kuongea. Hata hivyo, fumanizi hilo liliisha baada ya mmoja wa majirani kusuluhisha ugomvi huku akiwaongoza ibada ya toba kisha akawaomba wasameheane.
Mwanahamisi akamuangukia mumewe na kumuomba msamaha, maisha yakaendelea.
GPL

Friday, 1 August 2014

AU HAJIELEWI ???ONA ALICHOKIFANYA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM DIVA


Mtangazaji wa kipindi cha mahaba kiitwacho Ala za Roho kupitia Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ hivi karibuni alilazimika kuyaanika maungo yake ya sehemu za mapaja kushuka chini baada ya kutakiwa kufanya hivyo na mmoja wa mashabiki wake.Kupitia blog yake, Diva alidai kuwa siku za nyuma kuna mtu aliomba kuona sehemu hizo za mwili wake hivyo baada ya kumbania sana ameamua kumtimizia haja yake ili afurahi.

Monday, 7 July 2014

KUHUSU MAKAHABA WA DODOMA WANAOJIITA WANAFUNZI WA MWAKA WA MWISHO UDOM

Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi  za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.
Wafanyabiashara nao hawapo nyuma wakiwamo wanaonadi miili yao kama bidhaa. Hawa ni maarufu kwa majina kama vile makahaba, machangudoa na dada poa.
Kimsingi, wauza miili wanavutiwa na mengi mjini Dodoma, ikiwamo ongezeko la watu linalosababishwa na kuwepo kwa taasisi za elimu ya ju

Pia shughuli nyingi za kijamii na kitaifa zimekuwa zikifanyika mjini hapo, hivyo kuvutia watu wengi wakiwamo wafanyabiashara hawa.
 
Kushamiri kwa biashara ya ukahaba kumewafanya wahusika kutafuta ‘sumaku’ ya kuvutia wateja. 
Uchunguzi wa Mwananchi umebaini mojawapo ya njia wanazotumia kupata wateja ni kujinadi kuwa wao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).
Ni kwa sababu hii, chuo hicho ambacho kimsingi kimebadili maisha ya kijamii na kiuchumi ya mji wa Dodoma,  mara kwa mara kimekuwa kikikumbwa na kashfa ya wanafunzi wake kujihusisha na vitendo vya ukahaba.
 

 
Udom na ukahaba
 

 
Baadhi ya watu waliohojiwa wanasema makahaba wengi wanatumia jina la chuo hicho kama ‘ndoano’ ya kuwanasa wanaume.
 

 
 Na kwa hakika mkakati wao huu unaonyesha kufanikiwa, japo kwa upande mwingine umekuwa na matokeo hasi kwa jamii ya chuo hicho kinachoongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi nchini.
 

 
Moja ya maeneo ya starehe ambayo makahaba hawa wamegeuza kuwa vijiwe vyao vya kawaida ni pamoja na klabu moja ya starehe maarufu iliyopo eneo la Makole.
 

 
Baadhi ya wateja waliohojiwa klabuni hapo  wanasema hawana uhakika wa wanafunzi kujihusisha na biashara hiyo, na kuwa maneno ya wanafunzi wa Udom kuhusishwa na  ukahaba yamekuwa katika midomo ya wakazi wengi mjini hapo, lakini bila ya kuwa na ushahidi.
 

 
Mmoja wa wateja ambaye hakupenda kujitambulisha jina lake, alisema upo uwezekano wa makahaba kutumia jina la chuo kwa minajili ya kushawishi mteja na kuficha utambulisho halisi.
 

 
“Kahaba anajisikia ujiko (sifa) sana kujitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa Udom kutokana na sifa ya chuo hicho kuwa na wasichana wazuri sana,” anasema. 
 


Kwakweli hata mimi binafsi nishawasikiaga mademu kibao ukikutana nao sehemu ukimuuliza tu we nani na wafanya nini now  utaskia tu ooh nasoma Udom then ukimuuliza mbona uko apa Dar na vyuo bado havijafungwa ataanza kujiumauma tu lol haa ahaaa TUMEWASTUKIAAA..

Sunday, 6 July 2014

INASIKITISHA::MSICHANA MIAKA 18 ASHIRIKI NGONO NA WANAUME 24 HADHARANI ILI ASHINDE KINYWAJI CHA BURE,:CHEKI HAPA


Kiu ya kushinda zawadi yenye jina lililomsafirisha kimawazo imemponza msichana mmoja Muingereza baada ya kuamua kutoa utu wake na kukubali kushiriki kwenye mchezo wa kufanya vitendo vya ngono (bl*wjob) na wanaume 24 hadharani kwenye club ya usiku ili ashinde 'Holiday'.  

'Holiday' ni jina la kinywaji cha cocktail kilichotengenezwa na gin, vodka, peach schnapps, blackcurrant liqueur na fruit juice. Lakini masikini msichana huyo mwenye miaka 18 hakulifahamu hilo, ndio maana alijitoa muhanga kushiriki katika mchezo huo uliofanyika kwenye bar iitwayo Alex's Bar huko Hispania. 
 
spain Binti huyo ambaye jina limehifadhiwa aliambiwa na waandaaji wa mchezo huo kuwa endapo atashiriki basi atajishindia 'Holiday', lakini mwisho wa siku kumbe zawadi ni ya kinywaji cha cocktail kinachogharimu £4 sawa na elfu 11 ya kibongo.
 spain
 Msichana huyo alikuwa akishangiliwa na umati uliokuwa ukishuhudia mchezo huo mchafu huku wengine wakirekodi tukio hilo kwenye simu zao. 
 
Msichana huyo alikuwa akihamasishwa kunywa sana na kuambiwa atashinda 'holiday' kama atashiriki kwenye mchezo huo. 
 

Kwa bahati mbaya 'Holiday' hiyo ikageuka kuwa ni jina la kinywaji cha cocktail. Namwonea huruma' shuhuda mmoja aliiambia gazeti la The Sun.

Friday, 4 July 2014

MADADA POA NA WATEJA WAO WANASWA WAKIFANYA YAO.



Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu uchochoroni. MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya ngono vichochoroni na kusababisha kuzagaa kwa maboksi ya mipira ya kiume (kondom) maeneo hayo kutokana na kutupwa hovyo baada ya kutumika.

Baadhi ya akina dada walionaswa na OFM katika zoezi hilo. Baada ya kufanya utafiti na kuona hali halisi, OFM wakishirikiana na askari kutoka kituo kidogo cha polisi cha Mbagala-Kizuiani, walitinga katika eneo hilo saa nane usiku hivi karibuni na kuwanasa laivu machangu kadhaa na wateja wao katika banda moja la mama ntilie.
Kijana akijificha sura baada ya kutiwa nguvuni. OFM ilizungumza na mmoja wa machangu hao ambaye alidai kuwa kilichompeleka mjini kutafuta maisha akitokea mkoani Mara ambapo mtu aliyempokea ambaye ni changu mwenzake (hakuwepo eneo la tukio) alimleta hapo na kumfundisha biashara hiyo.
Watuhumiwa wakipandishwa kwenye gari la polisi. “Haka kabiashara kananisaidia na mimi nimeweza kupanga chumba na kununua nguo na chakula, mimi na machangu wenzangu tunacheza upatu kama njia ya kujiendeleza kimaisha, nisingeweza kama nisingefanya biashara hii,” alisema changu huyo pasipo kutaja jina. Mbali na eneo hilo, OFM ilishuhudia vibanda vingine vinavyotumiwa na machangu hao na wateja wao kufanya ngono na kujionea kondom na makasha mengi yaliyotumika kwa siku hiyo. Mwishoni, machangu hao na wateja wao walichukuliwa na kupelekwa kituo cha polisi kisha mapema siku iliyofuata walipandisha Mahakama ya Jiji la Dar kusomewa mashitaka ya uzee.

Thursday, 3 July 2014

DJ FETTY,B12 NA ADAM MCHOMVU ADUNDANA MBAYAAA WAKIWA STUDIO, FETTY AVIMBA...SOMA NA TAZAMA HAPA


Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana jana katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea jana kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa 
Inshu nzima iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa? Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza Kikanuka zaidi! Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo? B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages... Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani.. Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

Tuesday, 1 July 2014

HABARI KIUNDAN KUHUSU I ::DOKTA ALIYEFUMWA AKIDUU NA MGONJWA NDANI YA CHUMBA CHA MATIBATU


AMA kweli majanga yakimkuta binadamu hayapigi hodi! Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai ni mgonjwa wa jino aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamida (20).
Dokta Ngariba akijitetea.
Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 9, mwaka huu ndani ya Kituo cha Afya cha Halmashauri ya Wilaya ya Temeke kilichopo Kigamboni jijini Dar ambapo timbwili hilo lilitokea.
ILIKUWAJE?
Ilikuwa wakati OFM wakizunguka katika Jiji la Dar es Salaam kama ada kusaka matukio ndipo walipopita nje ya kituo hicho walisikia sekeseke kutokea kwenye chumba ambacho baadaye kilibainika na cha kung’olea meno.
UCHUNGUZI, UFUATILIAJI Katika uchunguzi na ufuatiliaji wa OFM, mgonjwa huyo alisikika akidai kwa polisi waliofika kutuliza sakata kuwa, alijihimu kwenye kituo hicho kwa lengo la kung’oa jino lakini katika hali ambayo hakuitarajia daktari huyo alimtaka kimapenzi naye akajikuta akitumbukia.
....Akiandaa zana za kazi.
HEBU SIKIA HII “Mimi nimekuja kung’oa jino, linaniuma leo sijui siku ya ngapi? Lakini huyu daktari nimefika akanitaka kimapenzi. Nilidhani anatania, baadaye nikagundua kuwa amedhamiria,” alisema mwanamke huyo ambaye alikutwa ameshavua dera.
UTETEZI WA DAKTARI Hata hivyo, daktari huyo hakumwacha mgonjwa wake huyo atambe kiasi hicho, alijibu mapigo kwa kusema kuwa, alimpokea mwanamke huyo kama mgonjwa wa jino na kumwingiza kwenye chumba cha kung’olea meno lakini ghafla alimwona akianza kuvua nguo zake kisha kumvua na yeye shati na baadaye kutaka kufungua zipu ya suruali.
.....Wakiwa chumba cha kung'olea jino
Akiendelea kuzungumza mbele ya Polisi wa Kituo cha Kigamboni waliofika kwenye sakata hilo ndani ya chumba cha matibabu ya meno, daktari huyo alisema: “Mimi sikuwa na nia mbaya, nilijua ni mgonjwa anataka tiba ya kung’olewa jino. “Sasa nikiwa katika maandalizi ghafla nikamwona anavua nguo na kisha akanivaa mimi na kuanza kunivua shati. Nashangaa sana anaposema nilimtaka kimapenzi, si kweli jamani.”
MASWALI MAGUMU Baada ya maelezo ya Dokta Ngariba, OFM ilikuwa na maswali yake lakini haikupewa nafasi ya kuyauliza kwa vile walidandia ishu.
.....Wakielekea kituo cha polisi Kigambono.
Swali la kwanza; kama kweli Dokta Ngariba alivamiwa na kuvuliwa nguo na mgonjwa huyo, alipiga kelele kuomba msaada kutoka kwa watumishi wenzake? Swali la pili; mpaka mgonjwa anajivua nguo zake kisha kumvua yeye shati na baadaye kuelekea kwenye fraizi ya suruali, yeye alikuwa anawaza nini akizingatia ni mgonjwa wa meno? Uwazi lilizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sylvia Mamkwe kuhusu sakata hilo ambapo alisema:
“Taarifa hizo nazisikia kwako, niko safarini, nitafuatilia. Kama ni kweli hatua zinachukuliwa kwa waajiri wake ambapo najua kwa kosa kama hilo ni kupoteza kazi.”

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA