10:16 |
|
Mwanamuziki wa Nigeria aka Naija Cynthia Akudo Jonah maarufu kwa jina la Cynthomania or Ada Owerri amefariki dunia.
Cynthomania hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya 'Ukwu Ajebutter' na akiwa anajiandaa kutoa albamu yake ya kwanza umauti ukamfika. Rest In Peace Ada.
>>BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK<<,
0 comments:
Post a Comment