UVUTAJI WA SHISHA MARUFUKU TANZANIA
14:38 |
No Comments |
Serikali ya Tanzania yapiga marufuku uvutaji wa Shisha
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana Tanzania hasa miongoni mwa vijana wadogo mjini Dar Es Salaam.
Baadhi ya watu wanaiona Shisha kama isiyokuwa na madhara ya kiafya ikilinganishwa na uvutaji wa Sigara.Lakini wataalamu wanaamini kuwa uvutaji wa Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta sigara miamoja.Madaktari walitoa onyo kuhusu uvutaji wa Shisha wanakabiliwa na tisho la kuugua Saratani sawa na hatari inayowakabili wavitaji wa sigara
Related Posts:
TCU YAHITIMISHA ZOEZI LA KUWACHAGULIA VYUO KIDATO CHA SITA NA SASA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA SAUT NA ARCH BISHOP HAYA HAPA Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kwaajili ya masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2014/15 katika kozi mbalimbali yametoka baada ya… Read More
HII SI YA KUKOSA :MASHEIKH NA MAPADRE KUSAKATA KABUMBU UWANJA WA TAIFA OCTOBA 12 2014. Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salim (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo… Read More
BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPENDEKEZA MAKAMU WATATU WA RAIS. Bunge Maalum la Katiba limependekeza muundo wa uongozi wa Serikali utakuwa na Makamu watatu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzan… Read More
VIJANA NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA VIGEZO ILI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA (YDF) Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na wa… Read More
**NEW**TCU YAFUNGUA MLANGO KWA WANAOTAKA KUHAMA VYUO NA FACULTY:CHEKI VIGEZO HAPA 1. Introduction TCU had been experiencing a number of applicants seeking transfer after the announcement of selection results. Due to that rea… Read More
0 comments:
Post a Comment