WEMA SEPETU AFICHUA SIRI NZITO YA MILLARD AYO....SOMA HAPA
Watu wengi sana watakuwawanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa
watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia
sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekeeya kufikisha habari, ila wengi walikuwa
hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda
aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia
kura kuchagua#AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.
0 comments:
Post a Comment