ZIJUE AINA ZA WANAWAKE AMBAO WANAUME WANAPENDA
Sometimes Wanawake huwa wanajiuliza Maswali mengi,wafanyeje ili wapendwe,wanahisi wana bahati mbaya,kila wanapojitoa mioyo yao inaumizwa.Jamaa hawakai,wanatupia kitu,wanakula mzigo wanatembea na Bwana..Mioyo yao imejaa matundu na hawaamini kabisa kama Wanaume huwa wanapenda,imefikia point wanadhani Wanaume hutamani tu kumbe SI KWELI! Wanaume nao wana taste zao,hawaendi tu kama Mbwa koko,jalala moja baada ya jingine,HAPANA...Know their taste and you will enjoy theirs. Sifa za Mwanamke ambae Mwanaume atavutiwa na kukaa ni hizi zifuatazo,JITAZAME,kama huna any of these,you better try to learn to have them,its not too late:
1.MWANAMKE MWENYE MSIMAMO
Jambo moja muhimu,the number 1 thing ambacho Mwanaume anaangalia kwa Mwanamke ni Msimamo wako...Sio Mwanamke uko kama Feni,kila sehemu
unapulizia upepo,Mashariki,Magharibi kote wewe...Hapo sahau,tena sahau
sana.Mwanaume anahitaji kuwa na uhakika Mwanamke aliyemkabidhi moyo hana mishemishe na hayumbishwi na lolote,na chochote na penzi lake
liko safe Unaweza kuwa na kila kitu,Mzuri wa Sura na kila kituuuu,na bado
usimpate Mwanaume wa Maana kama huna sifa hii,hakuna muujiza kwenye hili,ndo wanaume
walivyoumbwa,if you lack this hamna Mwanaume wa Maana utapata,utapata vimeo kama ulivyo!
2.MWANAMKE MUELEWA
Men are simple creatures,they love to live simple,and take them simple as they are... Ukiwa aina ya Mwanamke unamind vitu...kitu kidogo ugomvi...Unaongea na nani...Uko
wapi..Na nani,Kwanini,hee,jamani kama Mahaakama kuu??Hapa unapoteza Credits Kuwa aina ya Mwanamke muelewa
ambae utamfanya Mwanaume ajisikie vibaya kufanya kitu flani ambacho ulishamwambia asifanye
before...Lakini sio kukaripia na kununa kwa sababu amerudia..let
him realize that amefanya kitu cha kukuudhi na hujareact,and if hes a
man enough,he will know and apologize Ila kama ni gumegume basi tena,litakausha na ndo inakuwa
issue hapo...Are u patient enough to handle it??kazi kwako,ila kuna wanawake wana uwezo huu,learn
from them wamewezaje..No matter how complicated the man
is,they know how to handle him Jua Lugha ya kutumia ambayo utafikisha ujumbe and yet you dont show him kwamba umemind na unamkaripia...kumkaripia
Mwanaume ni msala mpya,hata kama ana kosa atakumind na itakula kwako...Una ulimi mzuri
kufikisha ujumbe??
3.MWANAMKE DIRECTOR
Baba ni kichwa cha nyumba....mimi huamini Mama ni
macho yaliyo kwenye kichwa hicho Women play a very vital role in DIRECTING THE HEAD TO THE RIGHT WAY Kichwa bila macho si utajigonga tu????Mwanamke ni jicho...
Ukikalia kujiremba tu na kuwaza mambo mengine bila kujua kuna kichwa kinasubiri maelekezo
yako,utaonekana bogus..kutwa uko kwenye Umbea,huna muda wa kujua ur man anafanya nini,ana
plan gani mwaka huo,unamsaidiaje kuzifikia,sasa
we faida yako nini kwenye maisha yake?? be the kind of a woman ambae
Mwanaume aki-achieve jambo anasema I have a woman beside of me who engineered this...Kama
hujawahi kufikia hatua ya kuwa appreciated na ur man kwa jambo hili jua kuna mahali umefeli...Na
hili haliji hivihivi,linakuja pale kunapokuwa na proper
communication between you and ur man...Bila good
communication:
1.Hutajua what ur man is. up to
2.Kwa sababu hujui what he is up to hutakuwa na msaada.
3.Akifaulu,jua haupo kwenye picha ya mafanikio yake na ur simply useless
4.Akifeli,ur part of his failure kwamba humsaidii lolote..ur simply useless and actually absent in his life kwa sababu uwepo wako haumsaidii its better he becomes alone!
YOU HEARD???
Women have planning and control ability,USE IT...Usikae tu kama muuza genge unasubiri wateja,Do
your job and Win him!
4.MWANAMKE MSAFI NA MZURI
Usafi huu sio wa nguo tu na
kunukia,ni zaidi ya hilo...
Usafi unaanzia ndani..Msaidie Mwanaume awe msafi pia,rohoni hadi mwilini...Rohoni how???Jitu
halisali,halikumbuki kuna
Mungu,lipo tu,unadhani mtajenga Familia gani baadae??? Msaidie kum-remind kukumbuka
hilo,Mafanikio ya nje huanzia ndani..Dirty inside,Dirty Outside...Mambo mengine anafanya nje na yanaku-affect kwa sababu umefeli ku-inspire change
ya ndani...Ngumu hii lakini ndo hivyo..You can save a lot of energy kama atakuwa msafi wa ndani,everything outside will be set automatically...Whatever u see in physical started in Spiritual...Yeah right! Hata ulimwengu uliumbwa,na vyote
unavyoviona baada ya Plan ya Spirit kumalizaika.Soma Kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia,uone Uumbaji ulifanyikaje...Same
applies na hapa,Uumbaji wa vitu vya nje,Mahusiano imara,Familia bora inajengwa ndani..
Sio kazi yako ni kuuliza Baby hatuendi Club,Baby
this...Unamkumbusha kusali??? Utatengeneza mme freemason bila kujua...Mtu hasali we upo tu
unaona sawa...CHANGE!
Huu usafi mwingine wanawake mmejaliwa,biashara za kunuka
kikwapa no,Kusafisha nyumba vema saafiii...mengine si kama kawa??Mpango mzima uko hapo. Uzuri huwa ni
subjective...Unaweza kuwa mzuri kwangu lakini ni wa kawaida kabisa kwa mwingine....Ukiwa
msafi unaweza ukamfanya Man wako aone potential,hata kama wewe sio mzuri sana lakini anaona Kiongozi wa Familia inside you and
he will definitely opt you.
Hamna limbwata wala nini,tupa kule mbali...
Kama huna hizi sifa 4,aisee waza upya...Unaweza bahatisha ndulute ukaolewa,lakini jusitegemee muujiza,goma litapata Pancha tu...Jamaa hataweza kukaa na nunda...Atajutia Mahari aliyolipa
ila atasepa kimyakimya..
To avoid that,please make sure you do your Homework well ili Mtihani ukija unafaulu tu bila shida...
Jitathmini halafu KAA HUMO!
0 comments:
Post a Comment