DADA WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA MBEYA
DADA YAKE MAREHEMU ALBERT MANGWEA, AMEFARIKI DUNIA JUZI JULY 2, 2014 BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU NA ANATARAJIWA KUZIKWA LEO HUKO MBEYA.
Akizungumza na paparazi, rafiki wa karibu wa Albert Mangwea, M2theP amesema kuwa wameshaanza taratibu za mazishi ya dada wa rafiki yake.
“Tumepata msiba wa dada yake mkubwa Albert Mangwea, amefariki juzi na tunazika leo. Mimi niko Mbeya kwaajili ya mazishi, siunajua Ngwea alikuwa kama ndugu yangu. Kwa jinsi nilivyoambiwa alikuwa anaugua tu nadhani ni vitu kama hivyo,” alisema.
0 comments:
Post a Comment