Wednesday, 16 July 2014

SOMA HII STORY HUYU DADA ALIYEKUTANA NA MWIGIZAJI SHAMSA FORD LEO.




Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii leo hii, mwanadada mwigizaji Shamsa Ford amepost ujumbe huu kwa wale wadada wote wanopenda kutumia mikorogo kama njia ya kuwafanya waonekane warembo Zaidi. Hichi ndicho alichokisema inatia huruma....


“Leo nilikutana na mdada ambaye alikuwa ananiomba sana kukutana na mm.nilipokutana naye alikuwa amevaa hijabu kubwa sana yaani yalibaki macho tu.nikajua mfungo wa ramadhani.nilishangazwa sana baada tu ya kuketi akaanza kulia.baada ya kunitolea hijabu yake nilitamani kukimbia.Wasichana wenzangu na kina mama tujiamini na kile Mungu alichotuumba nacho..huyu dada alikuwa ananunua hii mikorogo inayotengenezwa na watu majumbani.matokeo yake amejichubua mpaka kabakisha ngozi ya mwisho.Na sababu kubwa iliyomfanya anitafute ni kunisihi kutochezea rangi yangu na kwasihi wanawake wanaojichubua waache coz madhara yake ni makubwa.na sasa hivi ana canser ya ngozi.Nilitamani kumpiga picture but alikataa.

TUWENI MAKINI Dada zangu”

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA