Saturday, 12 July 2014

WEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE

Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.
Diamond akiwa katika dua.
Baadhi ya futari.
Baadhi ya wahudhuriaji akiwemo meneja wake Diamond, Babu Tale, wakimalizia futari.
Wema akiwa na mawifi zake
Wema akideka kwa mkwe wake mama Diamond.
MSANII wa filamu bongo Wema Sepetu amefuturisha  nyumbani kwake Kijitonyama jana

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA