Wednesday 20 April 2016

NEWCASTLE YAIBANA MANCHESTER CITY


Eliaquim Mangala wa Manchester City akimtoka Moussa Sissoko wa Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park usiku wa Jumatatu timu hizo zikitoka sare ya 1-1. 
Sergio Aguero wheels away with an arm held aloft after heading Manchester City into a 14th-minute lead over Newcastle

Bao la City lilifungwa na Sergio Aguero kwa kichwa dakika ya 14, kabla ya Vurnon Anita kuiswazishia Newcastle dakika ya 60.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA