EXCLUSIVE ::PROFESSOR JAY AMEANZA KU SHOOT VIDEO YA WIMBO KIPI SIJASIKIA,,,CHEKI PICHA
Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu
Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor akiwa na pingu mkononi.Tazama picha.
Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond.
Professor akiwa na askari
0 comments:
Post a Comment