Friday 1 August 2014

Bonge la SONG JIPYA TOKA KWA PROF J..DOWNLOAD na SIKILIZA HAPA ...UNAITWA - TATU CHAFU


10560953_512792668822216_699963228_n

Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira miaka ya 1990 kabla hajatoka.
Ndani pia yumo Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC wa sasa Mr. 'Kipi Sijasikia.'
Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy..

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA