COMEDIAN KINYAMBE AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed
Abdallah "KINYAMBE" amefariki
dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa
Kinyambe amethibitisha kuwa msanii huyo
wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana
kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Mchekeshaji huyo ambaye alikuwa akishiriki katika filamu mbali mbali za ucheshi alianza kuonekana kupitia kituo cha televisheni cha Chanel TEN katika kipindi cha vituko show.
Kinyambe atakumbukwa zaidi kwa aina pekee ya uigizaji aliokuwa akiufanya kiasi cha kuweza kujikusanyia mashabiki lukuki nchini.
Tutazidi kuwajuza zaidi kuhusu hili. R.I.P KINYAMBE
Mchekeshaji huyo ambaye alikuwa akishiriki katika filamu mbali mbali za ucheshi alianza kuonekana kupitia kituo cha televisheni cha Chanel TEN katika kipindi cha vituko show.
Kinyambe enzi za uhai wake akiwa katika harakati za kuigiza pamoja na mkongwe Mzee Jangala |
Kinyambe enzi za uhai wake akiwa katika harakati za kuigiza pamoja na msanii Matumaini |
Tutazidi kuwajuza zaidi kuhusu hili. R.I.P KINYAMBE
Hapa chini ni moja kati ya kazi za sanaa alizofanya Kinyambe
R I P
ReplyDelete