Sunday 3 August 2014

LINAH AFUNGUKA KUHUSU KWENDA BBA


          Mwimbaji wa kike aliyepiga hatua kubwa hivi karibuni na kusainiwa na kampuni ya kubwa ya Afrika Kusini NFZ, Linah alifanya mahojiano exclusively na tovuti ya Times Fm na kufunguka zaidi kuhusu mambo muhimu katika muziki wake. Linah alizungumzia masuala muhimu yanayohusu muziki wake. Jinsi alivyofanya kazi na kundi la
Uhuru ‘Ole Themba’ na alivyojipanga kulikabili soko la kimataifa.Mwimbaji huyo alieleza pia mtazamo wake kwa ushirikiano kati ya wasanii wa kike na sababu
inayowafanya kutokuwa pamoja na kusapotiana pamoja na mambo mengine.
Ameeleza pia kama ana mpango wa kwenda Big Brother na mtu anaempendekeza zaidi kwenda katika jumba hilo, 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA