Monday 10 August 2015

FUNDI!! COUTINHO AIBEBA LIVERPOOL IKILIPA KISASI KWA STOKE CITY



Liverpool ikicheza ugenini imeanza vyema ligi kuu nchini England baada ya kushuhudia ikipata pointi 3 baada ya kuifunga Stoke City bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa ligi hiyo iliyoanza rasmi kutimua vumbi jumamosi ya tarehe 08'08'2015. 

Katika mchezo huo uliochezwa jana, bao la Liverpool liliwekwa kimiani na Philippe Coutinho katika dakika ya 86 ya mchezo huo.
Heka heka langoni mwa Stoke City

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA