Saturday 9 August 2014

MTAKE MSITAKE TUNAKATA::WANAUME WATAHIRIWA KWA NGUVU HUKO KENYA




Huko nchini kenya yametokea haya ambapo wanaume ambao hawajatairiwa walikua wanalazimishwa wafanye hivyo ili kuwafanya viungo vyao hivyo viwe safi.
Wanaume 12 waliofanyiwa kitu hicho kutoka makabila ya Luo, Turkana, Iteso and Luhyia kwani walikua bado kutokana na mila au kuogopa tendo lenyewe.
Wanaume wengine karibu 50 wameripoti polisi ili waepushwe na zoezi hili huku wanawake wa eneo hilo wakifurahia zoezi hili.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA