Saturday 9 August 2014

ANGALIA PICHA YA KIJANA ALIYEONGEZEWA HUKUMU KWA KOSA LA KUJISAIDIA MAHAKAMANI


NOUMER SANA
Mkaka huyu alikua na kesi ya jinai mahakamani,amejikuta akiongezewa mashtaka baada ya kuulizwa maswali magumu sana na hakimu,na hatimaye akajikuta breki zimefeli na kuachia ushuzi mkubwa uliofanya mpka watu walioenda kuskiliza kesi ile kutoka nje na kuondoka kabsa.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA