ALICHOKIANDIKA STEVE NYERERE KUHUSU KUJIUZULU UONGOZI BONGO MOVIE.
Katika maelezo yake chini ya picha yake ameandika>>’Napenda kuwashukuru ndugu zangu wote wasanii wenzangu kaka zangu mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu’Kupitia mtandao wa picha yaani Instagram aliyekuwa Rais wa Bongo Movie Unity,Steve Nyerere leo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwenye klabu hiyo ya Bongo Movie huku akishindwa kuweka sababu iliyomfanya kujiuzulu.
‘Nimeamua kujiuzulu uongozi wa Bongo Movie nabaki kuwa mwanachama wa kawaida nina imani tulifurahi pamoja tukahudhunika pamoja na daima tutakuwa pamoja’.
0 comments:
Post a Comment