Monday, 29 September 2014

HII NDIYO ZAWADI MAALUM YA DIAMOND KWA WEMA SEPETU


 
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond' amemzawadia mpenzi wake Beutiful onyinye Wema Sepetu gari kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Wema Sepetu na kuandika ujumbe huu....
Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby!

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA