Monday, 29 September 2014

KUMBE MASANJA MKANDAMIZAJI ANAMZIDI DIAMOND UTAJIRI

Wadau, Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga! Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu. Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond? Mungu amkbarikie zaidi Asante
-the choice

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA