MSICHANA ALAZIMISHWA KUFUNGA NDOA NA MBWA
12:15 |
No Comments |
Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga.
Mbwa huyo alitafutwa na baba mzazi wa mrembo huyo na kufanyika sherehe kubwa ikiwa na vitendo vyote vinavyofanywa na ya bibi harusi na bwana harusi kwa taratibu zao za ndoa.
Kwa mujibu wa Yahoo News, msichana huyo hakuwa na furaha kabisa na alieleza wazi jinsi alivyochukizwa na kitendo hicho, “Siifurahii kabisa hii ndoa.”
0 comments
Related Posts:
ROBIN WILLIAMS DIES OF SUSPECTED SUICIDE According to police in Marin County, Calif., Williams was found "unconscious and not breathing" just before noon Monday inside h… Read More
PICHA ZA UBAKAJI ZAZUA TAFRANI INDIA Picha za wanamitindo zilizopigwa kwenye basi zikionyesha mwanamke akionekana kama anayebakwa na wanaume, zimezua hisia kali kwenye mitandao ya k… Read More
SAMAKI AINA YA NGUVA AKUTWA UFUKWENI MWA BAHARI AKIWA AMEKUFA Samaki huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni amenekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, ujerumani.&… Read More
ANGALIA PICHA DADA ALIYEMEZA SIMU YA MKONONI KISA MCHEPUKO Kuna zile habari ambazo hata ziwe zimetokea miezi au miaka mingapi nyumba, huwezi tu kuzisahau kwa sababu sio za kawaida kuzisikia au kuzishuh… Read More
ANGALIA PICHA WANA NDOA WAISHI PAMOJA KWA MIAKA 62 WAFARIKI PAMOJA Watu walioishi katika ndoa kwa miaka 62 wamekufa pamoja nchini Marekani. Don na Maxine Simpson, kutoka Bakersfield, California walipishana kwa saa c… Read More
Post a Comment