Sunday, 28 September 2014

STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI


Add caption
 ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande  
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.

Related Posts:

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA