Tuesday, 9 September 2014

TAZAMA PICHA ZA NYANGUMI ALIYEIBUKA PWANI YA MTWARA


Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30.

Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu, Mtwara wakishuhudia mzoga huo.
Wakazi wa Mtwara wakiukata mzoga huo.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA