Wednesday, 1 October 2014

MAAJABU ONA HUU MTI MKUBWA UNA UMBO LA MWANAMKE UPO MISRI, UNATOA BARIDI KAMA "AC"




Mti wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana na mwanamke!

Watafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti mmoja mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke  na kusababisha taharuki kubwan nchini humo



Habari juu ya maajabu hayo zilirushwa kwenye televisheni moja ya nchini humo na kusababisha wananchi nchini humo kuogopa huku wengine wakisema sasa huu ni mwisho wa dunia.



Hata hivyo maajabu mengine ya mti huo kama unavyoonekana kwenye picha huwa hauoti matawi lakini ni mbichi na ukiusogerea karibu unatoa unakutana na baridi kari zaidi ya ile ya kipupwe"AC" hali inayofanya kuwa kivutio kwa watalii wanaomiminika kuustaajabu.
-HABARITELE 

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA