Friday 24 October 2014

MKUU WA MKOA AFUNGUKA !HAKUNA EBOLA KILIMANJARO


Baada ya kuenea kwa taarifa za kwamba mkoa wa kilimanjaro kuna ugonjwa wa ebola na kuwafanya wa kazi wa mkoa wa kilimanjaro kuwa na wasiwasi mkubwahatimaye mkuu wa mkoa wa kilimanjaro leo ameongea na vyombo vya habari.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa Leonidas Gama ameweka wazi na kusema kuwa mkoa uko shwari na hakuna ugonjwa huo wa ebola katika mkoa wa kilimanjaro.
Amani tele.
-THADE EXPENSIVE

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA