TAMASHA TAMASHA TAMASHA::HII SII YA KUKOSA KWA WAJANJA WOOOTEE
TAMASHA TAMASHA TAMASHA
O.S.G.-ENTERTAINMENT
INAKULETEA TAMASHA KUBWA LA KIHISTORIA LIITWALO
"ARUSHA STUDENT'S DAY"
*** KWA WANAFUNZI WA VYUO NA SEKONDARI***
LITAKALO FANYIKA TAREHE 01/11/2014 KATIKA UWANJA WA SHEIHK AMRI ABEID STADIUM
LITAKALOANZA SAA TATU KAMILI ZA ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI
>>>KIINGILIO NI SHS 3000/= TU.<<<
KWA WANAFUNZI WAHINI TIKETI MAPEMA KWA WAALIMU WENU WA MICHEZO
KWA MITAANI TUPIGIE SIMU NO=0764 010 809
WATU 100 WA KWANZA WATAPATA KINYWAJI MLANGONI
BURUDANI ZITAKAZO KUWEPO
1:MASHINDANO YA KUIBUA VIPAJI KWA MICHEZO MBALI MBALI KWA WANAFUNZI.
2:BURUDANI KALI ZITATOLEWA NA
NB:CHAKULA KITAPATIKANA KWA BEI POA NA SODA KWA SHS 400/= TU.