Monday, 10 November 2014

JIONEE HIVI NDIVYO TOHARA ZA KABILA LA KIKURYA ZINAVYOFANYIKA

Wanamwita "Dokta" wa kijiji cha Ryamisanga wilayani Butiama akiendelea na shughuli yake ya kumtahiri kijana kwa dakika 17 bila ganzi.
Baadhi ya vijana ambao wameshatahiriwa wakimtizama mwenzao ambaye anafanyiwa tohara
"Dokta" akijiandaa kuifanya kazi yake
Mashuhuda wa tukio hilo wakiwa na nyuso za mshangao
-blog ya wananchi

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA