Tuesday 30 December 2014

WEMA SEPETU AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU DIAMOND NA ZARI


U Heard ya leo December 29 iko hapa, Gossip Cop alihudhuria shughuli ya kutambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana December 28, akapata nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.


Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake. 
“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness …” Wema Sepetu. 
Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole na mlango wa gari

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA