Thursday 22 January 2015

TAIFA STARS KUUMANA NA RWANDA (AMAVUBI) UWANJA WA CCM KIRUMBA

 

PICHA TOKA MAKTABA

Timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) tayari imeshawasili jijini Mwanza kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Taifa Stars.
Pambano hilo la kirafiki litachezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Rwanda waliwasili na msafara wa watu 26, wakiwemo wachezaji, benchi la ufundi na viongozi.
Jana jioni walipata fursa ya kufanya mazoezi mepesi kwenye dimba la CCM KIrumba. Mechi inatarajiwa kuanza saa kumi na nusu jioni.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA