Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Ndanda.
Patashika wakati wa mtanange wa leo.
Mashabiki wa Ndanda wakiipa sapoti timu yao.
Kikosi cha Yanga kilichoanza mtanange wa leo.
Kikosi cha Ndanda SC kilichoanza kuwavaa Yanga leo. KIKOSI cha Yanga SC leo kimeshindwa kutamba katika Uwanja wa Taifa jijini Dar baada ya kulazimishwa suluhu ya 0-0 na timu ya Ndanda SC kwneye mtanange wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)
0 comments:
Post a Comment