Monday 2 February 2015

ARSENAL WAICHAPA ASTON VILLA



Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la pili dakika ya 56.
Theo Walcott akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 63.

Santi Cazorla akifunga bao la nne kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 75. ARSENAL imeibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Aston Villa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa Uwanja wa Emirates jijini London. 

Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Olivier Giroud dakika ya 8, Mesut Ozil dakika ya 56, Theo Walcott dakika ya 63, Santi Cazorla dakika ya 75 na Hector Bellerin aliyefunga la mwisho muda wa nyongeza. 

VIKOSI: 
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Walcott, Cazorla, Ozil, Giroud
Benchi: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Rosicky, Flamini, Chambers, Akpom
Aston Villa: Guzan, Hutton, Okore, Clark, Richardson, Delph,Gil, Sanchez, Cleverley, Benteke, Weimann 
Benchi: Sinclair, Baker, Bacuna, Agbonlahor, Westwood, Cissokho, Given

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA