Sunday 12 April 2015

AJALI TENA::FUSO ILIYOKUWA IMEBEBA WAOMBOLEZAJI YAGONGANA NA FUSO

*TAARIFA ZA AWALI*



Kuna ajali imetokea Jioni ya leo maeneo ya Ngilori na tabu hotel ktk wilaya ya Gairo kati ya fuso iliyokuwa imepakia watu waliotoka msibani na gari kubwa aina ya semi uso kwa uso.

Idadi kamili ya watu waliopoteza maisha bado sijapata maana ni ajali mbaya sana.

Name:  IMG-20150412-WA0028.jpg
Views: 0
Size:  156.2 KB


Name:  IMG-20150412-WA0029.jpg
Views: 0
Size:  164.9 KB

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA