Sunday 12 April 2015

AJALI YA BASI LA NGANGA NA FUSO ,BASI LATEKETEA KWA MOTO



Basi la Nganga linalofanya safari Iringa - Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani km kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro.
Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto.
Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA