Thursday 16 April 2015

KUHUSU KIFO CHA SECKY FAMILIA YAKANUSHA KUHUSU UZUSHI KUWA LULU AMEHUSIKA

Na Dickson Mulashani
Tangu zianze kusambaa taarifa juu ya kifo cha anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wa msanii Lulu,kumetokea upotoshwaji katika mitandao ya kijamii hasa whatsp ukidai kuwa marehemu Secky amefariki kifo pacha na kile cha hayati Steven Kanumba tena na Lulu akihusishwa katika seke seke hilo.

Lakini katika pita pita zangu za FUNGUKA LIVE juu ya tukio hili nimekutana na post ya Millard Ayo ambayo kwa kiasi chake itakuwa inapunguza au kumaliza utata juu ya chanzo cha kifo hicho
R.I.P #Secky# pole sana kwa familia ya mzee Mwandenga.

BOFYA HAPA KUPATA ANDROID APPLICATION YA BLOG HII UPATE HABARI MOJA ZETU KWA MOJA 

Pia nipende kuwaomba WaTanzania  wenzangu kweli mitandao inasaidia kueneza taarifa lakini tuache kusambaza taarifa zisizo na chanzo maalumu kwani licha ya kuwa ni kinyume cha sheria bali tunawaweka wahusika katika hali ambayo siyo nzuri.


BOFYA HAPA KUPATA ANDROID APPLICATION YA BLOG HII UPATE HABARI MOJA ZETU KWA MOJA 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA