RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI WALIOSAFIRI KILOMITA 830 KUTOKA MBEYA KUJA KUMPONGEZA IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kulia) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. John Mwaipyana (27) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27) akionesha uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix. yeye mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kushoto ) na John Mwaipyana (27) Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru na kumpongeza Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25) mmoja wa wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru na kumpongeza Bw. John Mwaipyana (27) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) na Bw. John Mwaipyana, Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
0 comments:
Post a Comment