Friday, 2 May 2014

HATARI KUBWA::HAYA NDIO MADHARA YA DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC KWA BINADAMU

  ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu! 
Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu,
 Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla.

Chanzo: Radio Dutch Velle

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA