Saturday, 4 July 2015

CHEKI PICHA ZA SALON MPYA ITAKAYOTUMIKA KATIKA KIPINDI CHA MKASI

Hii ndio salon mpya itakayotumika katika msimu mpya wa Mkasi unaotarajia kuanza hivi karibuni, ni saluni ya kisasa sana, na itakibadilisha kipindi hiki kuwa cha kipekee na aina yake.
Ni Ubunifu wa aina yake uliotumika katika kutengeneza  Salon hii ya kisasa ambayo itakuwa special kwa ajili kutengeneza Vipindi vya Mkasi katika msimu mpya Hivi karibuni.
Kuna vipindi kadhaa vimesharekodiwa tayari, Hapo juu ni sholole akiwa nahojiwa katika salon hii mpya.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA