Saturday 4 July 2015

TAIFA STARS NA KIBARUA KIGUMU CHA KUSONGA MBELE CHAN

 Taifa Stars ilifanya mazoezi yake ya mwisho jana baada ya kuwasili jijini Kampala kwa ajili ya mechi yake ya pili dhidi ua wenyeji Uganda, leo.


Stars walifanya mazoezi katika Uwanja wa Nakivubo kabla ya mechi ya kesho kwenye uwanja huo jijini Kampala.

 Stars inatakiwa kushinda kwa mabao 4-0 ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Chan.


Ugumu huo unatokana na Stars kupoteza kwa mabao 3-0 katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA